Msanii Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya majaribio ya vifaa ndani ya jukwaa la Dar Live.
Diamond Platnumz na madansa wake wakifanya maandalizi katika jukwaa la kupanda na kushuka la Dar Live.
Mpiga drums Kibosho akijaribu vifaa vyake tayari kwa shoo ya Diamond leo usiku. Kibosho ndiye atampigia Drums Diamond katika shoo yake leo itakayokuwa live.
Diamond akipozi na dansa wake.

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget