Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi na kumpongeza Luteni Usu Edwin Engelbert Kessy wakati wa hafla ya kutunuku kamisheni maafisa wa jeshi baada kuibuka mwanafunzi bora wakati wa mafunzo ya maafisa wa jeshi yaliyofanyika katika chuo cha jeshi Monduli mjini Arusha jana.
Rais Kikwete akitunuku Kamisheni maafisa wa jeshi katika chuo cha Jeshi huko Monduli Mkoani Arusha jana. Jumla ya maafisa 171 walitunukiwa kamisheni wakati wa hafla hiyo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na maafisa wapya wa jeshi na viongozi wengine.(Picha na Freddy Maro.)

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget