http://api.ning.com/files/W8k9GghxLBtevHgQitXTJ2jSfj8RAmTYr6tpHAdJNzHlZyw989dYiFUo*5pl6rUfAUwfluNEGLOyS9IGISUEuraEd*mU6-oY/shilole.jpgStori: Gladness Mallya

MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ambaye pia anafahamika kama Shishi Baby, amesema baadhi ya watu wana chuki naye kiasi kwamba wanatamani kumtoa roho kwa kutopenda mafanikio yake.http://api.ning.com/files/W8k9GghxLBtrY4mOYHFG4vOROyyU1NMglpEhZEQOpmUasaKbSqTpNKYv-wL51GtyMCGZObztc6QdpsbPtgQ2RqT*4Olw6b*E/shilole345.PNG 
Msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’
. Akipiga stori na gazeti hili mara baada ya ziara yake ya kimuziki barani Ulaya, Shishi Baby alisema katika mitandao ya kijamii, alizushiwa kuwa alienda huko akiwa na mwanaume badala ya ukweli kwamba alitafuta shoo katika miji tofauti.
"Yaani watu wana roho mbaya sana,wanatamani nikiwa nimepanda ndege waitungue nife na ndiomaana wanazusha,namuomba Mungu sana maana maadui wanazid kila kukicha kisa maendeleo yangu tu",alisema

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget