

Diamond AsindikizwaAirport Kwa Msafara wa Polisi Huko Mombasa-Tusipomkubali Watamkubali
Tujifunze Kuthamini Vizuri vyakwetu WatanzaniaHata Yesu walimkataa kwao, walimpiga mawe na kusema kuwa hawawezi kufundishwa na mtoto wa fundi selemara na mwisho wakamtundika hadi kufa, lakini baadae alifufuka na mwishowe akawaokoa. Sasa ndio tunachokifanya watanzania kwa Diamond, yaani hatumkubali lakini anatuletea heshima kwa taifa letu, Tubadilikeni na tusiwe kama wayahudi.watanzania tubadilike maisha ya kuchukiana ni ya zamani kuweni na wivu wa maendeleo kama wenzetu nje ya nchi.